Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Haya sawa
Yaanπ₯΄kama sio wewe vile!
Yaani utafikiri hafiki anakoenda na hakuna mitandao!Ukiwa barabarani, kuwa makini usije ukagongana na hawa, wakitembea vichwa vimeinama na simu mkononi. Wakitembea mbele hawaoni, wengine wanaishia mitaroni, wanakoswa kugongwa na magari.
Ukiwa barabarani, chukua tahadhari dhidi ya viumbe hivi hatari, kwani macho yao muda wote yapo kwenye vioo vya simu zao, vidole vyao vinaandika jumbe huku miguu yao inatembea.
Ukiwa barabarani na usipo chukua tahadhari, watakuvamia uso kwa uso hata kukuumiza, hawajali wapo eneo gani notification ikiingia lazima wafungue.
Ukiwa barabarani, kuwa makini na viumbe hivi hatari..
Duh! Aisee πNishadumbukiaga kwenye chemba ya kinyesi Kawe...hizi simu hizi, acha tu
Huwa nawanyoosha mabega,silei ujinga.Ukiwa barabarani, chukua tahadhari dhidi ya viumbe hivi hatari, kwani macho yao muda wote yapo kwenye vioo vya simu zao, vidole vyao vinaandika jumbe huku miguu yao inatembea
Na ukikaa vibaya anakuvaa usoniYaani utafikiri hafiki anakoenda na hakuna mitandao!
Kwamba unamsubiri ajilete akutane na kikumbo cha nguvu πHuwa nawanyoosha mabega,silei ujinga.
Hao wanataka tuone sim zao zina camera ya macho matatu, wakiweka mifukoni hatutaonaHao ndo huwa wanaibiwa town wanabaki kulalamika........
Afuu kuna wale ambao wana makoti yenye mifuko, au pochi Lakini simu wanashika mkononi tu kama prestige hao nao tuwafanyaje wakuu?
Wapuuzi sana unatembeaje huangalii mbele!Kwamba unamsubiri ajilete akutane na kikumbo cha nguvu π
Wengine hawana cha maana wanancho fanya kwenye simu ila siku muda wote zipo mkononiMimi nishawatia sana hasara hawa wajinga, namkwepa kidogo halafu nampiga kibega kiaina ule mkono ulioshika simu inakwenda chini halafu najifanya niko bize anashindwa aanzie wapi kuniuliza
Acha tuDuh! Aisee π