Ukiwa 'chawa' pale CHADEMA au CCM unavunja amri ya pili ya Mungu - "Usijifanyie sanamu ya kuchonga ukaiabudu"

Ukiwa 'chawa' pale CHADEMA au CCM unavunja amri ya pili ya Mungu - "Usijifanyie sanamu ya kuchonga ukaiabudu"

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Unapokuwa chawa wa mwanasiasa ni kwamba huyo Boss wako unamfanya kuwa mungu wako na automatically unakuwa umevunja amri ya kwanza ya Mungu wa mbinguni isemayo "Mimi ndimi Bwana Mungu wako usiwe na miungu wengine ila mimi"

Na unapoanza kumuimbia mapambio ya kumsifu na kumuabudu unatenda dhambi ya kuvunja amri ya pili" Usijifanyie Sanamu ya Kuchonga Ukaiabudu"

Tunaelimishana tu hadi tutafika amri ya 10

J5 Ubarikiwe sana!
 
Ngoja waje Waprotestanti wakuambie sanamu wanazozijua wao ni zile za kanisani kwa Wakatoliki.
 
Sikukosea kuwanyang'anya baba na mama kadi za machawa na vitambulisho vyao vya mpiga kura..

Mataga na unafiki Ni Kama mbwa na mifupa..
 
Sikukosea kuwanyang'anya baba na mama kadi za machawa na vitambulisho vyao vya mpiga kura..

Mataga na unafiki Ni Kama mbwa na mifupa..
Umevunja amri ya 4 ambayo nitaizungumzia kesho
 
Back
Top Bottom