johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mungu wa mbinguni awasamehe kwa sababu hawakujua wanalotenda.Studio tuwekee ile p4cga Makonda akimfunga kamba za viatu ridhiwani, dj niletee ile nyimbo ya kabudi akimwita magufuli "mheshimiwa mungu"
Mimi naanzaje kuwa chawa?Najitegemea hadi kwenda uani.Mgaya siida nene.Chawa mpo CCM.Chawa wakubwa ninyi.Tuko hapa kufunguana minyororo ya kiroho Siyo kutajana
Wewe kama ni Chawa tangu leo tubu na mrudie Mungu wa mbinguni!
Uchawa mpaka "MKUU" awe na madaraka ya kugawa vyeo and hence FEDHA. Chadema hakuna vyeo vya hela vya kugawa.Una uhakika Chadema hakuna Chawa na Sanamu za kuchonga?
Huwa wanakosea sanaNgoja waje Waprotestanti wakuambie sanamu wanazozijua wao ni zile za kanisani kwa Wakatoliki.
Akikusikia Freeman atakucheka sanaUchawa mpaka "MKUU" awe na madaraka ya kugawa vyeo and hence FEDHA. Chadema hakuna vyeo vya hela vya kugawa.
Yule alikua na chawa, kunguni, harara na kupe na fangus juuMagufuli alifanywa sanamu na watu wengi, maana hakuna kiongozi yoyote wa Tz aliyekuwa na chawa wengi kama yule, ulikuwa ni utitiri.
Umevunja amri ya 4 ambayo nitaizungumzia keshoSikukosea kuwanyang'anya baba na mama kadi za machawa na vitambulisho vyao vya mpiga kura..
Mataga na unafiki Ni Kama mbwa na mifupa..
Kama wewe ulivyo chawa wa Samia?Magufuli alifanywa sanamu na watu wengi, maana hakuna kiongozi yoyote wa Tz aliyekuwa na chawa wengi kama yule, ulikuwa ni utitiri.