Ukiwa Dar!

Chikwangara

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
685
Reaction score
939
-Bei ya chakula kwa mamantilie inaanzia 2000.

-Ukienda kwa mafundi simu hasa Kariakoo, bei zao huanzia elfu 30 kwa smartphone.

-Boda boda huanzia elfu 2, wao huita ni town ride.

-Madalali huanzia chumba laki hata kama ni cha ovyo.

Nyingine ongezeeni wakuu, ili na wasio ijua Dar waweze ijua angalau pakuanzia.

NB: Navozungumzia Dar, namaanisha ni ya maeneo kama Kariakoo, Sinza, Mwenge na sehemu nyingine za Jiji.
 
Acha uongo, gomz msosi wa jero ukoko wa kutosha na madem wa buku 2 unaosha rungu swafi kabisa.

Rum ya buku 5 ipo na usafiru wa miguu upo.

Tusitishane, wewe umepigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…