The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Unaweza kuwa na sifa zote hizo lakini ukawa na kitu kimoja kinaitwa KIMAVI.Mi mbona sipendwi na wanawake au sifa hizo sina
Hao ndo wana pesa; hivyo ukiwa na ukaribu nao ndo unapata pesa. Ukiwachukia au wakikuchukia imekula kwako.Achana na wanawake tafuta pesa
Nikipendwa na Mungu inatosha,apo kaka umeongea point ya muhimu sanaKupendwa na wanawake kitu gani bhana nikipendwa na mungu wangu inatoshaaaaa
Nikipendwa na Mungu inatosha,apo kaka umeongea point ya muhimu sana
Na pia Kijana inakupasa kuwa nadhiifu,msafi,kujituma huo ni wajibu wangu ili niweze kuendelea kiuchumi mambo mengine yatanyooka yenyewe
Mbona sasa hivi naishi? Hao watu ndio wamenishikia pumzi?Huwezi ishi bila hao watu mkuu
😂😂Hayo yote ukiyafanyia kazi lazima pesa ipatikane tu.