Mwanamke anapenda pesa na mdinye kisawa sawa...! Hayo mengine mbwembwe tu...! Ukiwa na hivyo vitu 2 basi uko safe
Umefeli sanaaa yaani unazunguka zunguka tu una acha point PESA Yaan SABUNI YA NAFSI, HENDSAM wa huu mji pendwa daslam? Kweli unajifanya hujui main character PESA? Tutake radhi tafadhali
Yote hayo unapoteza muda na kujidanganya..
Pesa pesa + mbo.o ya uhakika ndio kila kitu..!! Kula hadi jirukishe ukuta mpe pesa mpe pesa muongezee pesa..!!
Sijui mimi nina kismati cha paka tu kupendwa na wachawi pekee maana mabinti hawanielewi. Anyway ngoja niyafuate uliyoyasema
Umetumia maneno mengi sana kuelezea nn wanapenda hawa viumbe. Kifupi ni wanapenda kuhakikishiwa ulinzi na usalma wa maisha yao tu. Ukiliweza hilo umemaliza kazi
Dah....vitu viwili tu vinahitajika ....Pesa .....na nguvu za "misuli" …...vingine hivyo ni siasa tu...[emoji13] ..
Je mapigo ya moyoMtazunguka Ubuyu weee.. ila Hakuna kitu Kinamvutia Mwanamke kama Pesa, Narudia Kwa Mwanamke Hakuna kitu zaidi ya PESA
Ukitoa uchangamfu hv vingine watavikidh wenye pesa huwez kujiamn bila pesa!!!
Dah....ndiyo maana nakwambia hizo ni siasa tu....huna Pesa.....msuli nao " haukazi".....hapo utakuwa mwanaume wa kupigia picha tu....Ukioa utanambia, pesa ipo mwishoni kabisa katika ishu ya kupendwa.
Ndio maana hata vitabu vitakatifu vinasema tuishi nao kwa akili
Kwani saizi naishije,naishi kama nilivyokueleza hapo juuSasa utaishije mkuu bila hao viumbe