Ukiwa hivi wanawake lazima wakupende


Unapata Nini kwa hao wanawake?
 
tunasubiria siku ukikuaa ukaamua kuowa yani kuanzisha familia urudi utupe mrejesho
 
Ukipenda na kukubalika na mwanaume ujue tigo ipo mikonon mwake
 
Ishi maisha yako!! Usiishi kwa Influence ya mwanamke!!

It means ni rahis kutoa Siri zako kwa sababu ya kumridhisha mwanamke

Mwanamke anamaisha yake nawew una maisha yako.

Ukihitaji mwanamke tafuta anaekufaa, sio kudangany kwa vitendo ili mwanamke akufuate.

Ukiacha kuigiza maisha utayajua maisha yakoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…