Ukiwa huna hela hata ukienda beach kuogelea Mawimbi yanakuja kukusomba Maana yanafikiri umekuja kujiua

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za mida hii wadau!?

Yani nipo napiga hesabu nifanyeje haya Maisha naona yanazidi kupiga chenga tu halo inakuwa ngumu, ukimuomba mtu hela anasema mitano tena sasa hiyo mitano tena ndo ntashiba ama au ni hela,

Tufike muda tuoneane huruma jamani.

🤦🤪🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…