Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya.
• Hii ni hali ya kisaikolojia inayotokana na msongo wa mawazo, kukata tamaa, au hata kujihisi kama hana thamani kwa jamii na ndo Maana mda wowote kila kitu atakacho kiona kwa mtu/watu wanamiliki lazima atotelea maneno makali ya kushambulia, lakini ukifuatilia kwa undani zaidi kuhusu hilo jambo utagundua kuwa sababu ya watu wa aina hii ni umasikini na si kitu kingine.
• Ukweli ni kwamba umasikini mara nyingi siyo uchaguzi bali matokeo ya mazingira husika, fursa chache, au changamoto za kijamii na kiuchumi. Jambo muhimu ni kujifunza kuwa na subra na kuelewa kwamba kila mtu ana changamoto zake, na anaweza kukusaidia pale inapowezekana hivyo haina haja ya kushambulia mtu kwa matusi au kwa maneno makali.
Wewe unahisi ni njia gani bora ya kushughulikia hali kama hizo?