Ukiwa huna hela unapataje usingizi mpaka unaota na kukoroma ?

Dah nikiwa nashida na hela kulala saa Saba kuamka kumi kamili sizani Kama nalala nahisigi nimepitiwa na usingizi.
 
Miaka nenda rudi nikiwa sina hela , usingizi hauji kabisa hata nifanyeje. Mpk nistue na bia kadhaa.

Mwenzangu ukiwa huna jiwe unalalaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijijini MTU aweza kaa hata mwaka hana hela lakini vyakula tele analala usingizi mnono bila shida yoyote

Hadaiwi kodi ya nyumba,maji wala umeme

Hamia kijijini
 
Wa kwangu pia. Nimenunua mkate nikaupima kwa rula ukawa sentimeta 17. Nikamwambia kuwa tutakuwa tunakula sentimeta 3.5 kwa siku. Inakuwaje anasema mkate umekwisha katika siku 3 tu?
jameni unga wa chapati kilo 2 una chapati gapi? naona mke wangu ananichezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…