Ukiwa huna hela unapataje usingizi mpaka unaota na kukoroma ?

Kuna Bia sijawahi kuinywa ndo napiga hapa kwa bed nipate usingizi maana kesho Sina raman kabisa ya hela
 
Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Siwezi kukosa usingizi kwasababu naamini nikikosa leo nitapata kesho.
 
Vijijini MTU aweza kaa hata mwaka hana hela lakini vyakula tele analala usingizi mnono bila shida yoyote

Hadaiwi kodi ya nyumba,maji wala umeme
Mbona nilisikia watu wa ccm wanasema wamepeleka umeme vijijini kila mtu anafurahia matunda ya awamu ya tano? au nilikuwa naota?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…