Ukiwa huna kazi hawakutafuti kwenye simu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ndugu, marafiki na majamaa wakijua tu umepata kazi simu zinaanza kuwa nyingi shida zinaanza kuwa nyingi Mara huyu akuombe 10000 huyu Mara ajifanye anakusalimia wakati kipindi huna kazi walikuwa hawakuoni.

Ila Ni kawaida kwa wale wenye ujasiri wa kuomba mtu hela binafsi. Mimi nina ndugu zangu ni matajiri wakubwa ila sijawahi kuwaza kuwapigia simu niwaombe hela.

Ni heri nijifanye chokoraa niwaombe raia wa kitaa au niuze hata simu kwa Bei ya hasara ilimradi Ni solve tatizo nililonalo.
 
Ni kawaida ya binadamu wengi ukiwa huna kazi wanajua hodomeki!
 
Ndugu, marafiki na majamaa wakijua tu umepata kazi simu zinaanza kuwa nyingi shida zinaanza kuwa nyingi Mara huyu akuombe 10000 huyu Mara ajifanye anakusalimia wakati kipindi huna kazi walikuwa hawakuoni.

Ila Ni kawaida kwa wale wenye ujasiri wa kuomba mtu hela binafsi. Mimi nina ndugu zangu ni matajiri wakubwa ila sijawahi kuwaza kuwapigia simu niwaombe hela.

Ni heri nijifanye chokoraa niwaombe raia wa kitaa au niuze hata simu kwa Bei ya hasara ilimradi Ni solve tatizo nililonalo.

Nimejifunza kumtegemea Mungu sio siri imenisaidia sana
 
Pole sana mkuu, ni kawaida ya binadamu ukiwa nacho watakutafuta usipokuwa nacho pia wanaondoka….
 
Back
Top Bottom