ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ni kawaida ya binadamu wengi ukiwa huna kazi wanajua hodomeki!Ndugu, marafiki na majamaa wakijua tu umepata kazi simu zinaanza kuwa nyingi shida zinaanza kuwa nyingi Mara huyu akuombe 10000 huyu Mara ajifanye anakusalimia wakati kipindi huna kazi walikuwa hawakuoni.
Ila Ni kawaida kwa wale wenye ujasiri wa kuomba mtu hela binafsi. Mimi nina ndugu zangu ni matajiri wakubwa ila sijawahi kuwaza kuwapigia simu niwaombe hela.
Ni heri nijifanye chokoraa niwaombe raia wa kitaa au niuze hata simu kwa Bei ya hasara ilimradi Ni solve tatizo nililonalo.
Ndugu, marafiki na majamaa wakijua tu umepata kazi simu zinaanza kuwa nyingi shida zinaanza kuwa nyingi Mara huyu akuombe 10000 huyu Mara ajifanye anakusalimia wakati kipindi huna kazi walikuwa hawakuoni.