Ukiwa huna pesa hawakuchunguzi kujua chanzo cha umaskini, iweje uanze kupata visenti waanza kuchunguza vyanzo vya pesa zako tena kwa jicho la chuki?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
ulipokuwa huna pesa wala hawakufuatilia chanzo cha umasikini wako iwe ni uvivu, kwenda kwa waganga, madeni, ulevi, kamari, n.k. watu hawana time kabisa wala kukupa ushauri,

Mambo yanaanza kujipa unatoboa kuwazidi, mtu unachambuliwa zaidi kuzidi hata unavyojifikiria ama unavyoishi, yule atakuwa anaenda kwa mganga, yule atakuwa mwizi, tapeli, yule muoneni tu nyuma ya pazia sie mumdhahaniavyo, pesa zake hazina msaada, anabeti zitaisha tu, n.k. 🤣🤣🤣
 
Hapo kufanikiwa ndio tatizo, umaskini umeshazoeleka na kuonekana jambo la kawaida kwenye jamii yetu, huu hauna sababu ya kuuchunguza.
Sio kwa masikini tu, hata kwa watu wanaojiweza unakuta wanaendesha gari za milioni 10 hadi 20, siku ukitoboa unavuta chuma cha milioni 50 huko, kelele zinaanza
 
Maskini shule Malizia home work for you guys to come over tomorrow night for dinner and then we originally from the airport and Lack
 
Na usiombe hayo mafanikio yaje alafu Kwenye familia Yako augue yyt labda Kwa stroke au kichaa ,bac utaambiaa ndio umemtoa kafara Ili uwe tajirii ila hawakumbuki ulivyokuwa unajitafuta.

Bonyo nyoso sanaa
 
1722946122255.jpg
 
Na usiombee utajiri uliopata ni ule wa kukopa pesa benki kuanzisha biashara inayopata mafanikio haraka. kwa vile una nidhamu ya fedha unaona ujibane kuishi maisha ya kawaida ili umalize kwanza marejesho ya deni.

Kelele zinaanza hapo, Ana duka kubwa ila kapewa sharti na mganga, na hapo ndugu akiugua ndio kabisa utasingiziwa umemtoa kafara.
 
Sio kwa masikini tu, hata kwa watu wanaojiweza unakuta wanaendesha gari za milioni 10 hadi 20, siku ukitoboa unavuta chuma cha milioni 50 huko, kelele zinaanza
Sio hiyo tu hata TRA wanaanza kusumbua biashara yako.
 
Ni wivu tu huwasumbua watu wa aina hiyo. Mafanikio huja kupitia kupambana.
 
Wakiona unajali Sana chunguza yao ndiyo watakutesa....achana nao we focus na unachokiamini
 
Ndo hapo sasa! Afu ukiwa huna wanakucheka na kukuona kilaza. 😁
 
Na usiombee utajiri uliopata ni ule wa kukopa pesa benki kuanzisha biashara inayopata mafanikio haraka. kwa vile una nidhamu ya fedha unaona ujibane kuishi maisha ya kawaida ili umalize kwanza marejesho ya deni.

Kelele zinaanza hapo, Ana duka kubwa ila kapewa sharti na mganga, na hapo ndugu akiugua ndio kabisa utasingiziwa umemtoa kafara.
Bongo nyoso afsaaaa,hyo imemkuta ndugu yangu kbs maskini ya MUNGU now wanamwita freemason 😅
 
ulipokuwa huna pesa wala hawakufuatilia chanzo cha umasikini wako iwe ni uvivu, kwenda kwa waganga, madeni, ulevi, kamari, n.k. watu hawana time kabisa wala kukupa ushauri,

Mambo yanaanza kujipa unatoboa kuwazidi, mtu unachambuliwa zaidi kuzidi hata unavyojifikiria ama unavyoishi, yule atakuwa anaenda kwa mganga, yule atakuwa mwizi, tapeli, yule muoneni tu nyuma ya pazia sie mumdhahaniavyo, pesa zake hazina msaada, anabeti zitaisha tu, n.k. 🤣🤣🤣
Watu wa ajabu wenginee Ni TRA ukiwa na transaction tra wako mlangoni

Ukisimama biashara huwaoni lakini wanaulizia annual return of income

Siku hizi kwa technologia ya efd wanaweza kujua mapato yako

Una miezi 6 hujauza bado wanataka Kodi
Unawauliza kama mauzo mnayaona mtandaoni mbona hamijaususpend Kodi?
 
ulipokuwa huna pesa wala hawakufuatilia chanzo cha umasikini wako iwe ni uvivu, kwenda kwa waganga, madeni, ulevi, kamari, n.k. watu hawana time kabisa wala kukupa ushauri,

Mambo yanaanza kujipa unatoboa kuwazidi, mtu unachambuliwa zaidi kuzidi hata unavyojifikiria ama unavyoishi, yule atakuwa anaenda kwa mganga, yule atakuwa mwizi, tapeli, yule muoneni tu nyuma ya pazia sie mumdhahaniavyo, pesa zake hazina msaada, anabeti zitaisha tu, n.k. 🤣🤣🤣
Hata wanaochunguza chanzo Cha mapato Yako Wana wivu na mafanikio Yako mfano wao ni tra
 
Binadamu hawana jema ukiwa mtu Hana kitu wanamcheka kimya kimya akiwa nacho minuno na maneno ya kukatishana tamaa yanaanza .Dawa ya haya ya maujinga ni kuziba masikio ,usisikilize maneno biga kazi, mind your business.
 
Na hapo wanapambana wakushushe uwe masikini mwenzao, ngozi nyeusi tuna shida sana
 
Na usiombee utajiri uliopata ni ule wa kukopa pesa benki kuanzisha biashara inayopata mafanikio haraka. kwa vile una nidhamu ya fedha unaona ujibane kuishi maisha ya kawaida ili umalize kwanza marejesho ya deni.

Kelele zinaanza hapo, Ana duka kubwa ila kapewa sharti na mganga, na hapo ndugu akiugua ndio kabisa utasingiziwa umemtoa kafara.
Hahaaaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom