Sio kwa masikini tu, hata kwa watu wanaojiweza unakuta wanaendesha gari za milioni 10 hadi 20, siku ukitoboa unavuta chuma cha milioni 50 huko, kelele zinaanzaHapo kufanikiwa ndio tatizo, umaskini umeshazoeleka na kuonekana jambo la kawaida kwenye jamii yetu, huu hauna sababu ya kuuchunguza.
Na usiombee utajiri uliopata ni ule wa kukopa pesa benki kuanzisha biashara inayopata mafanikio haraka. kwa vile una nidhamu ya fedha unaona ujibane kuishi maisha ya kawaida ili umalize kwanza marejesho ya deni.Na usiombe hayo mafanikio yaje alafu Kwenye familia Yako augue yyt labda Kwa stroke au kichaa ,bac utaambiaa ndio umemtoa kafara Ili uwe tajirii ila hawakumbuki ulivyokuwa unajitafuta.
Bonyo nyoso sanaa
Sio hiyo tu hata TRA wanaanza kusumbua biashara yako.Sio kwa masikini tu, hata kwa watu wanaojiweza unakuta wanaendesha gari za milioni 10 hadi 20, siku ukitoboa unavuta chuma cha milioni 50 huko, kelele zinaanza
Bongo nyoso afsaaaa,hyo imemkuta ndugu yangu kbs maskini ya MUNGU now wanamwita freemason 😅Na usiombee utajiri uliopata ni ule wa kukopa pesa benki kuanzisha biashara inayopata mafanikio haraka. kwa vile una nidhamu ya fedha unaona ujibane kuishi maisha ya kawaida ili umalize kwanza marejesho ya deni.
Kelele zinaanza hapo, Ana duka kubwa ila kapewa sharti na mganga, na hapo ndugu akiugua ndio kabisa utasingiziwa umemtoa kafara.
Watu wa ajabu wenginee Ni TRA ukiwa na transaction tra wako mlangoniulipokuwa huna pesa wala hawakufuatilia chanzo cha umasikini wako iwe ni uvivu, kwenda kwa waganga, madeni, ulevi, kamari, n.k. watu hawana time kabisa wala kukupa ushauri,
Mambo yanaanza kujipa unatoboa kuwazidi, mtu unachambuliwa zaidi kuzidi hata unavyojifikiria ama unavyoishi, yule atakuwa anaenda kwa mganga, yule atakuwa mwizi, tapeli, yule muoneni tu nyuma ya pazia sie mumdhahaniavyo, pesa zake hazina msaada, anabeti zitaisha tu, n.k. 🤣🤣🤣
Hata wanaochunguza chanzo Cha mapato Yako Wana wivu na mafanikio Yako mfano wao ni traulipokuwa huna pesa wala hawakufuatilia chanzo cha umasikini wako iwe ni uvivu, kwenda kwa waganga, madeni, ulevi, kamari, n.k. watu hawana time kabisa wala kukupa ushauri,
Mambo yanaanza kujipa unatoboa kuwazidi, mtu unachambuliwa zaidi kuzidi hata unavyojifikiria ama unavyoishi, yule atakuwa anaenda kwa mganga, yule atakuwa mwizi, tapeli, yule muoneni tu nyuma ya pazia sie mumdhahaniavyo, pesa zake hazina msaada, anabeti zitaisha tu, n.k. 🤣🤣🤣
Hahaaaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Na usiombee utajiri uliopata ni ule wa kukopa pesa benki kuanzisha biashara inayopata mafanikio haraka. kwa vile una nidhamu ya fedha unaona ujibane kuishi maisha ya kawaida ili umalize kwanza marejesho ya deni.
Kelele zinaanza hapo, Ana duka kubwa ila kapewa sharti na mganga, na hapo ndugu akiugua ndio kabisa utasingiziwa umemtoa kafara.