Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Bila Shaka huyo ni waziri Sonyo ama Waziri Mahadhi......Waziri Saidi anauza mitumba kule Temeke ninauhakika hana muda na JF
As a lady, lazima natokewa. A problem ni kwamba huyo anayedai eti yeye ni waziri wa wizara nyeti atanikomesha iwapo nitamkataa.
kwahiyo upupu aliouleta we unaona sawa?????????Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie.
mbona mimi rais,ntakutongoza pia mda si mrefu!wewe usijali,muembe wenye embe ndio hupopolewa
Mzanzibari wa brazili au mbrazil wa zanzibar?