Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Waziri gani atamtongoza nazjaz bana?, watu wanaoteshwa vikombe huyu kaoteshwa anatongozwa na waziri. haujatongozwa bana, anaetongozwa hasemi.
as a lady, lazima natokewa. A problem ni kwamba huyo anayedai eti yeye ni waziri wa wizara nyeti atanikomesha iwapo nitamkataa.
Waziri gani atamtongoza nazjaz bana?, watu wanaoteshwa vikombe huyu kaoteshwa anatongozwa na waziri. haujatongozwa bana, anaetongozwa hasemi.
unamzushia mtakatifu, ukifkuzwa kazi ujue sababu ni hii post yako.halafu wewe sio waziri kweli. Mbona hii pm uliyoni2mia sahv imekaa kimtongozo tongozo.
Nadhani wewe unataka kujitangaza tu kuwa wewe ni lady na kwamba kuna watu wanakutaka. Umeambiwa mambo ya PM hayawekwi hapa, mkatalie huko huko kwenye PM, kama akikukosea haki mshitaki kwa mods huko huko kimya kimya. Mnajaza mathread na kusababisha thread za maana kuingia kwenye second page etc. Sio kila mtu anatafuta wanawake humu, acha upuuzi.
unamzushia mtakatifu, ukifkuzwa kazi ujue sababu ni hii post yako.
Hapa hakuna cha uzuri wowote! Huna uzuri wowote! Unaweka mpicha wako umepiga mipicha ya ajabu ajabu unategemea nini? Ulichokitafuta umekipata sasa lawama za nini? "Eti Waziri" mambo yako ya Pm yana2husu nini sisi? Cjui hta ni nani alikufundisha ku-click manake bdo unaonekana mshamba! PM Manake kila ki2 unamaliza wewe mwenyewe! Cha ajabu ni nini? Kwani hujawah kutongozwa? Na ulipotongozwa ulianika huo mtongozo wako kwenye JF? Nadhan wewe unatangaza NIA kupitia huo m-picha wako! Shame on u! Shiit!
Waziri gani atamtongoza nazjaz bana?, watu wanaoteshwa vikombe huyu kaoteshwa anatongozwa na waziri. haujatongozwa bana, anaetongozwa hasemi.
Samahani Nazjaz,nakuuliza jambo moja... hivi ingetokeo kwa wewe kumkubali huyo waziri na mkakubaliana mambo yenu na mkafanya na matusi (sic*). J ungeanzisha thread na kutuhabarisha kuwa waziri kakutongoza na umemkubali na mshafanya na mambo yenu yale... (sic*), ila umtaji jina kwa usalama wako na wake au uneipotezea tu kivyako vyako...!?Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life
refer to post yangu nambari 21: SRED KLOSED.watakatifu wote wawepo ila sio wewe.
Back 2 topic: 2msaidieje nazjaz na huo mtongozo.
Humu JF atakuwa ni Waziri kivuli. Wala haishangazi si katibu mkuu tunaona mambo yake.
refer to post yangu nambari 21: SRED KLOSED.
nazjaz badala apeperushe lisred la kutafuta mchumba mashart awe waziri yeye anaremba remba. Haoni mwenzie nani nani yule kamtokea halima mdee hewani.Ama kwel JF ni kisima cha BURUDANI! Huyo wazir mwajuana then watuletea masifa hpa. Kajuaje jinsia yko? Story zngne bana, za watoto wa chekechea!
nazjaz badala apeperushe lisred la kutafuta mchumba mashart awe waziri yeye anaremba remba. Haoni mwenzie nani nani yule kamtokea halima mdee hewani.
Hapo chacha! Et ooh wazr kantokea, wanaotokewa hawasemagi bana, ye atangaze anatafta mchumba 2tamwelewa, yan huyu nazjaj ni bonge la mshamba, hajui hta kufnya promo. Ila hatarudia tn kuleta story za kwnye ndoto humu Jf. Amenikera huyu!