Ukiwa JF acha ujinga

ana post mia nne katongozwa na waziri, akifika post kama zako nazani atatongozwa na mfalme wa Uganda.

hahahahahaha!
Hachelewi kusema ameitwa ikulu na obama. Dah! Nikihitaji kozi ya mashauzi inabidi nimkonsalti naz
 
JF kazi kweli kweli mtu anaamua kujipa promo mwenyewe
 
Cheo, yaani ni noma tupu. To be seduced na limtu huku linakutisha
Code:
Hahaha,yaani weeh kutokewa na mtu akajitambulisha yy waziri ukaogooopa! Sasa siku ukitokewa na mafisadi si itakuwa hatari ya danger? Msemelezee kwa mzazi wako

ujinga ni pamoja na kutumia avatar inayoonyesha picha yamtu mwingine

Hivi Nazjaz yule mwanadada aliyekutolea povu juu ya kutumia picha yake mlishamalizana manake biti lake hadi mi niliogopa. M-fowardie hizo pm maybe zilimaanishwa kwake..

As a lady, lazima natokewa. A problem ni kwamba huyo anayedai eti yeye ni waziri wa wizara nyeti atanikomesha iwapo nitamkataa.
Hongera kwa kutokewa mwaya,bahati ya mtende hiyo changamkia!
 
Nimekugongea THANKS ya ukwel, unakunywa knywaji gn nku2mie kwnye PM? Ila mi co waziri. Ubarikiwe sana!
Ukinitumia kile kinywaji kinachokuwa kwenye kikombe cha babu Ambilikile, nadhani itakuwa vyema sana!
 
Eti mtu ana ni pm halafu ananiambia kuwa yeye ni waziri na ananitaka na eti atabadilisha maisha yangu.
Najua hapa JF kawadanganya wengi, ila aache ujinga thats not life


Personally I fail to understand why this lady is getting attacked, seing as she never asked for this person's unwanted attention!


Nazjaz
Information is power so ahsante kwa kutujuza that there exist such low pple around JF. I
 
Khaaa huyu Nazjaz si ndio alikuja na thread ya JF na FB, sasa na JF anataka kuifanya FB, nimemshangaa sana na nimegundua ni mtu anayependa misifa, mambo ya PM anakuja kuyamwaga hadharani tumwelewaje? Maana nilipoiona heading ya Topic nikajua kuna jambo la maana kumbe ni Personal issue halafu ya kipuuzi, amekoma amuulize mwenzake Suzy hajarudia tena upuuzi kam huu
 
Huyu Nazjaz aache upuuzi na ujinga wake mambo ya PM anayaleta hapa ili iweje kama mtu umetongozwa whether it be waziri au mtu yeyote sisi haituhusu chochote i have a feeling she was trying to create attention as a grown hauwezi ukaleta upupu wa namna hii hapa it is just too low and too cheap.
 
hehehe ankal una hasira kweli kwenye hii sredi, isje ikawa waziri wenyewe ndio wewe?
 
yu wp huyu binti wa mawaziri? Aje hapa a2take radhi na ma sred yake ya ku2nga. Mbna ametoweka wajameni? Au ndo keshaenda kumalzana na Waziri?
 
Nshaku2mia ila na wewe ucjentangaza hpa wkt kla k2 nmekfanya through PM.
Ukinitumia kile kinywaji kinachokuwa kwenye kikombe cha babu Ambilikile, nadhani itakuwa vyema sana!
 
hii sredi inabidi ipelekwe jukwaa la business. Mtoa mada naona yupo kib'ness zaidi.mia.
CLOSED.

hahahaha! sikuwa na mpango wa kucoment hapa lkn umenishawishi,,nimecheka sana! isiende kny bss ushindani utakuwa mkubwa na klorokwin atakosa maana katongoza kwa gia ya uwaziri ilhali yuko famasi,,mia
 
hahahahahaha! Husni weye! Atakutia aib huyu, mashauz gn ya kizaman hvyo? Kizuri chajiuzaga bana na kbaya chajitembeza! Amechemsha mbaya!
hahahahahaha!
Hachelewi kusema ameitwa ikulu na obama. Dah! Nikihitaji kozi ya mashauzi inabidi nimkonsalti naz
 
mie sijaona why mnamuatack huyo Nazjaz kama thread mnaiona ni utoto ushamba ujinga si muipotezee tu?

mwaya Naz changamka mabuzi ndio hayoooo yanajileta yenyewe!:tape:
 
mie sijaona why mnamuatack huyo Nazjaz kama thread mnaiona ni utoto ushamba ujinga si muipotezee tu?

mwaya Naz changamka mabuzi ndio hayoooo yanajileta yenyewe!:tape:
tunashkuru na wewe umechangia. umemaliza au tusubiri utaendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…