Ukiwa JF acha ujinga

Nadhani sheria za JF haziruhusu kuleta mambo ya PieM jukwaani!

Since she's obviously new here, you could as well tell her kindly and not making an issue out of it while at it..kuna mmoja hapo chini mpaka katukana...let the lady be..mbona mimi hainisumbui hata akisema anatakwa na Obama its her giving out her wishlist albeit loudly..kwa kumsaidia tumfahamishe tu utaratibu, thts all fellas
 
Mhandisi hebu angalia join date yake ndio utajua kama ni mgeni au mgeni mwenyeji
H
 
Well binafsi sijasema chochote kuhusu thread yake so replace the word you with they maana its almost as if you are adressing me!
 
Tatzo anatujazia nafasi. Sredi za maana zinapelekwa ma page mengine. Anajua akifanyacho wala ucmhurumie, amepata alchokitaka na am sure hatarudia tena kututia majaribuni!
 
Tatzo anatujazia nafasi. Sredi za maana zinapelekwa ma page mengine. Anajua akifanyacho wala ucmhurumie, amepata alchokitaka na am sure hatarudia tena kututia majaribuni!

Ok sweets
 
ooh, pole! Nini tatzo? Hujapata waziri wa kuku PM weye! Cheka kdgo bana, utazeeka mapema! Shaur yko.

Ntajitahidi kucheka mpendwa..nisije nikazeeka nikakosa mume au hata waziri wa kuniPieM!
 
Nasubiri mwaliko wako wa kwenda kumuona Nazjaz namsubiria balozi wa nyumba kumi klorokwin aje.

Jipange twende nikamwombe radhi kwa kumsababishia haya yote.Kloro kapata kazi ya ulinzi!Mpaka kesho tena!
 

Mhandisi, mambo ya PM yanapaswa kuishia PM. Sasa watu wote wakianika PM zao patakalika kweli hapa!:A S-key:

 
Wewe Najzaj nadhan upo kazini,yaani unatangaza biashara.Mm jamani men take care!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…