Ukiwa JF acha ujinga

Hayo ni mawazo yake potofu! Tena ashindwe na alegee. Wa2 2nawaza namna gn 2taikomboa nchi mikononi mwa mafisadi ye ana2letea swaga za uswazi, aende zake bana!

mbona sijakuona ukileta mada inayohusu kuikomboa nchi mikononi mwa mafisadi.?..acha mashauzi!
 
Nasubiri we ulete nichangie! Mwenye mashauzi ni wewe unaewashwa na yacyokuhusu! We ushaleta ngapi yakhe???
mbona sijakuona ukileta mada inayohusu kuikomboa nchi mikononi mwa mafisadi.?..acha mashauzi!
 
Nasubiri we ulete nichangie! Mwenye mashauzi ni wewe unaewashwa na yacyokuhusu! We ushaleta ngapi yakhe???

sijaleta kwani umeniona mie nina shauo la mbilimbi kama wewe?????oooh unawaza jinsi ya kuikomboa nchi kutoka kwa mafisadi...huna lolote!unawaza mabwana zako tu humu!
 
Yalaaaaa! Hii mistari ulyoshuka nayo hapa ungeipeleka studio utatoka na Boooonge la single! Afu itauza balaaa m2 wngu!
sijaleta kwani umeniona mie nina shauo la mbilimbi kama wewe?????oooh unawaza jinsi ya kuikomboa nchi kutoka kwa mafisadi...huna lolote!unawaza mabwana zako tu humu!
 
Yalaaaaa! Hii mistari ulyoshuka nayo hapa ungeipeleka studio utatoka na Boooonge la single! Afu itauza balaaa m2
wngu!

ndio ukome!si ulijidai unaweza kusema mbovu,ukakuta kama ni njiti hapa zimejaa kibao,we endelea kujishaua nikufundishe adabu shenzi!
 
kuota inaruhusiwa jamani.mwacheni aote inaonesha anatamani haya mambo ndo mana kila dkk anajipakazia.
hii ya waziri kali,ningependa kujua ni wa wizara gani.
 
Nimekuelewa mke wa waziri! Unakunywa kinywaji gani?
ndio ukome!si ulijidai unaweza kusema mbovu,ukakuta kama ni njiti hapa zimejaa kibao,we endelea kujishaua nikufundishe adabu shenzi!
 
Mwulize Saaly, atakutajia mpk jina la huyo waziri, achilia mbali wizara yake.
kuota inaruhusiwa jamani.mwacheni aote inaonesha anatamani haya mambo ndo mana kila dkk anajipakazia.
hii ya waziri kali,ningependa kujua ni wa wizara gani.
 
:bored:

SweetLady na Saaly mnachafua JF....Tafadhalini kama mna akili timamu tafuteni mahali sahihi pa kuambiana mipasho yenu sio hapa jukwaani...nendeni hata PM basi......

Some people bana, thread inasema ukiwa JF acha ujinga lakini mnachofanya contrary, au ndio mambo ya kukojoa ulipoambiwa usikojoe na kutokojoa unapoambiwa kojoa hapa?....xhhxxxxhh
 
yaani wewe mipasho umeiona mie na sweetlady tu???
hio aliyopakwa Jaznaz kisa kaileta mada hapa sio mipasho??? au sio uchafu huo tangu page one???
 
Hayo ni mawazo yake potofu! Tena ashindwe na alegee. Wa2 2nawaza namna gn 2taikomboa nchi mikononi mwa mafisadi ye ana2letea swaga za uswazi, aende zake bana!

For this I can't argue with you, you know the group you fit in.
 
JF kisima cha burudani, waziri anatafuta nini hapa badala ya kutumikia wananchi..ndo maana nchi yetu ina matatizo mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…