Ukiwa juu, ishi ukijua huwezi kuwa juu milele

Joined
Mar 29, 2011
Posts
55
Reaction score
19
MARA nyingi kibinadamu ukiwa maarufu unajisahau kuwa unaweza kurudi na kuwa mtu wa kawaida. Hakuna garantii na Mungu kuwa utakuwa maarufu mpaka kufa. Ukikumbuka hili, utaanza kutayarisha maisha ya baadae na kuishi vizuri hata pale umaarufu utakapokwisha. Chukua kalamu anza kuulizia waliokuwa wakitamba zamani walikuwa akina nani, ndo utajua kuwa ni wengi, ma hiyo ndio njia inayokungoja. BE PREPARED, ishi na watu vizuri
 
“Uniondolee ubatili na uongo, Usinipe umasikini wala utajiri, Unilishe chakula kilicho kadri yangu, Nisije nikashiba, nikakukana, Nikasema Bwana ni nani? wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Bwana Mungu wangu.”

Mit. 30:8-9
 

and the topic is closed.
 
Na pia ijulikane kwamba hautashushwa na binadamu ila yule aliyekupandisha ndiyo atakayekushusha kutegemea na wakati alioupanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…