Ukiwa kama kocha utaanza na mshambuliaji gani hapa?

Ukiwa kama kocha utaanza na mshambuliaji gani hapa?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Chagua mshambuliaji mmoja tu wakuanza nae katika kikosi chako kutoka katika list ya washambuliaji waliopo pichani
IMG_0329.jpeg
 
Suarez, drogba, hary kane, aguero wote mbele pale
 
Naanza na watatu hapo. Berbetov na RVP wanazima kutokea pembeni kati namuweka Drogba nasubiri UCL, FA na EPL
 
Back
Top Bottom