Wickama
JF-Expert Member
- Mar 8, 2009
- 1,466
- 1,196
Kuna mtazamo kuwa MTIHANI sio njia sahihi sana ya kupima uwezo wa wanafunzi/wanachuo nk. Kama wewe ndio unafundisha wanafunzi wa ngazi/fani au kozi yoyote ile ni dalili zipi mbali na mtihani zitakupa msimamo kuwa mwanafunzi huyu ni "mzuri" kitaaluma? Tuchangie.