kwanza kabisa mwanafunzi mzuri kitaaluma ni yule mwenye critical thinking na anayeweza kukureason na kukupa challenge hata kwa ki2 kidogo mno kwa kuwa uelewa wake una kiu ya kujifunza na kuelewa kila ki2 haikalishi ni kidogo kiasi gani na pia huwa ana idea zake mwenyewe kuhusiana na mada inayojadiliwa viko vingi ila vichache ndo hivyo mm nielewavyoKuna mtazamo kuwa MTIHANI sio njia sahihi sana ya kupima uwezo wa wanafunzi/wanachuo nk. Kama wewe ndio unafundisha wanafunzi wa ngazi/fani au kozi yoyote ile ni dalili zipi mbali na mtihani zitakupa msimamo kuwa mwanafunzi huyu ni "mzuri" kitaaluma? Tuchangie.