Ukiwa kijana pesa yako iende kwenye haya mambo. Utatoboa tuu! Kamwe Usihonge wanawake!

Unarudi pale pale kwenye kujiaminisha ujinga, we endelea kuhonga sisi tunaojitambua tutahongwa na hela mnazowapa mademu wenu, tumeelewana?
 
Unarudi pale pale kwenye kujiaminisha ujinga, we endelea kuhonga sisi tunaojitambua tutahongwa na hela mnazowapa mademu wenu, tumeelewana?
Wewe unakula malapulapu,,

Mwanamke wa maana hawezi kufuga king'asti.
Yaani dume Zima unajisifia UMARIOO?
 
1000000 unapata mashamba Eka Tano wapi huko Wenda BURUNDI
 
Movements zako za maongezi kuhusu wanawake inaonekana ni Marioo straight
Nikuulize kitu, mwanamke hana thamani kwako zaidi ya kukuchuna tu na hakupi gegedo mpaka umpe hela, hawezi endesha maisha yake mpaka adange au wewe uingie hasara kumpa pesa asizostahili, usipompa hela hakutaki, mzigo kwako, hakuletei maendeleo yoyote maishani mwako zaidi ya kukutia hasara, unakuwa naye kwenye mahusiano wa nini? Na kama hutaki kumpa hela wewe ni Mario au hujuwi Mario ni mtu wa namna gani unaongea tu?
 
wewe nawe mbona hueleweki, we si ulisema tuwahonge saana wanawake tuwaridhishe, Sasa Leo unasema tusihonge kwahiyo tuchukue lipi?
 
Mario ni mwanaume anayelelewa na mwanamke,
Sasa kama ukiombaa elfu 20000 na mwanamke unakimbia ,
Unataka mwanamke wa bure kama sio Marioo ni nani?
 
Hakikisha haujiingizi kwenye uteja wa Simba na Yanga.
 
Mario ni mwanaume anayelelewa na mwanamke,
Sasa kama ukiombaa elfu 20000 na mwanamke unakimbia ,
Unataka mwanamke wa bure kama sio Marioo ni nani?
Kumbe unaelewa Mario ni mtu gani, mimi siyo huyo labda unanifananisha tu na mumeo wa zamani. Kwangu mimi, mwanamke mwenye thamani ni yule aliyesoma, asiye mzigo, mwenye kazi yake au biashara yake mwenyewe. Mtu kama huyu akitaka hela ninampa boost ili nimsukume afike pale anapotaka si kutoa na kumpa hela changu ashindaye mitandaoni, hana cha kufanya mjini, ukimtakia habari basi ni kosa, atakupigia simu kuomba mamilioni wakati hana lolote la kufanya zaidi ya kudanga tu na kuroga wanaume.
 
Mkuu huwa napenda kutazama makala zinazohusu mnyama Simba na kujifunza mengi kuhusu malavidavi.... Simba wangekuwa binadamu wangetufunza mengi.
 
Mkuu kuonga kupo lakini unaangalia na huo uhongaji Mimi Nina Imani ukijitafuta kwanza ukawa na maisha hao wanakuja wenyewe na utawala Bure kabisa lakini unakuta huna maisha alafu unafanya hio mambo
 
Uzi murua sana, bora hata hiyo pesa ya kuhonga ulandue kichwa kikae sawa🍺
usinunue nondo endelea kujilandua na makachakacha

kuna kundi la walevi hawa wa no sijui kitu gani naona wanajinyea kwa mafungu mafungu huku mitaani usije ukaungana nao meku
 
usiku mrefu mwanangu, tunaishije bila kuhonga sasa upwiru nao unabana
 
Mtu asipohonga wanawake wa bure atawapata wapi.
Kustarehe na wanawake ni basic need kama chakula, elimu nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…