Ukiwa kizuizini unatakiwa kuzingatia haya, ni haki yako

Ukiwa kizuizini unatakiwa kuzingatia haya, ni haki yako

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
[TABLE="class: t1"]
[TR]
[TD="class: td1"]48.-(1) Mtu aliyekamatwa au aliyewekwa kizuizini ana haki ya:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(a) kuelezwa kwa lugha anayoifahamu:


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(i) sababu ya kukamatwa kwake;


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(ii) haki ya kutokutoa maelezo yoyote; na


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(iii) matokeo ya kutoa maelezo;


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(b) kuwasiliana na wakili au mtu mwingine ambaye msaada wake ni
[TABLE="class: t1"]
[TR]
[TD="class: td1"]

muhimu kwa mtuhumiwa;


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(c) kutolazimishwa kutoa maelezo ya kukiri kosa ambayo yatatumika kama ushahidi dhidi yake;


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(d) kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo kama itakavyoelekezwa katika sheria; na


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(e) kuwekwa katika mazingira yanayozingatia haki za binadamu.


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"](2) Mtu anayetumikia kifungo ana haki ya:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(a) kuhifadhiwa katika mazingira yanayozingatia haki za binadamu;


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(b) kupata nakala ya mwenendo wa mashtaka na nakala ya hukumu kwa madhumuni ya kukata rufaa; na


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(c) kuwasiliana na wakili au mtu mwingine ambaye msaada wake ni muhimu katika kukata rufaa.


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"](3) Bunge litatunga sheria itakayoweka utaratibu utakaowezesha:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(a) mtuhumiwa kupata nakala ya mashtaka yanayomkabili;


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(b) mtuhumiwa kufikishwa mahakamani na kuomba dhamana kwa mujibu wa sheria; na


[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"]

(c) mfungwa kupata kumbukumbu ya nakala ya mashtaka na hukumu baada ya shauri kukamilika mahakamani.


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ENDAPO UTAIKUBALI KATIBA INAYOPENDEKEZWA
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom