Ukiwa kwenye hii situation utafanya nini?

NicknameJr

New Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
1
Reaction score
5
Upo club kidogo kidogo pale club unadance solo...Mara gafla kademu kanakusogelea kukutabasamia.... Unaanza kushukuru sir God umepata wa kucheza nae....mnacheza Kaka 30 minute then kanakunongoneza kwa skio yako "ni-Recharge elfu 30 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende na wewe leo mwanaume huna pesa kwa mpesa lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima.... Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka,unashukuru sana ila... After 2mins kanarudi na power bank [emoji38][emoji38][emoji38]
 
sasa hizo hela ungekuwa nazo mfukoni angempelekeaje mama yake? Tuanzie hapo kwanza
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…