Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Salamu jamii,
Tunazaliwa tunakutana na taratibu za jamii na za mungu.
Pamoja na vijembe vya wanaume desperate na wenye chuki za kitoto na za kimaskini.
Nawaambia kweli iliyo kweli, ukipata bahati ya kuwa na mahusiano na Single Mother anaejitambua hakika hata kama hutomuoa yeye basi iwe isiwe utapenda uoe na uwe na mke.
Single Mother anaejitambua ni daraja la mafanikio kwenye maisha.
Mungu ni wetu sote
Shukrani 🙏🙏🙏
Wadiz