Kevo Jr New Member Joined Jan 23, 2025 Posts 2 Reaction score 1 Jan 29, 2025 #1 Ukiwa kwenye ndoa ukinyoa bila taarifa Kuna namna Inaweza kuleta shida kubwa Sana.
King faisal JF-Expert Member Joined Jun 7, 2022 Posts 1,077 Reaction score 2,705 Jan 29, 2025 #2 Ukinyoa kiduku au! Be specific
K Kama ipo ipo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,119 Reaction score 1,728 Jan 29, 2025 #3 It's true only if kazi yenu ni kuhusu mambo ya uchini
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Jan 30, 2025 #4 Hiyo ndoa yenu mnawaza ngono muda wote tu?