You have such a poor perceptive on viewing this, Oh My Gosh.... MenYaani dunia ya sasa mwanaume ukijiweka kwenye angle ya kujifanya nice guy lazima ulambwe. 20% zinatosha kua humble na 80% kua katili ukiwa humble lazima lilikukute jambo baya na gumu.
Yamewahi nikuta hayo mambo ya kujifanya Nice guy ila baada ya kua katili yaani ghafla tu upepo umebadilika kila kitu smooth.
NB: Usimpe umuhimu mwanamke zaidi ya 20% ya muda wako nk zilizobaki focus na mambo yako.
kumtemea mate usoniMfano wa huo ukatili ni upi labda?
Malizia na nenoWeka uso wa mbuzi kiasi kwamba mwanamke akitaka kukuletea ujinga ajifikirie mara mbili mbili.Wavulana wengi wanafikiri ukiwa unakubali kila kitu anachosema mwanamke basi atakupenda na kukuheshimu,wakati kiuhalisia ukiwa hivyo wanawake wanakuona kama shosti yao.
Mtoto wa Kiume mwanamke anakuita eti pacha wangu na wewe unachekelea kama malaya kaona bia.
Man up!
Huyo yuko sahihi.....huwajui wanawake ww zaidi ya kuwaona wakipita. Kula darasaYou have such a poor perceptive on viewing this, Oh My Gosh.... Men