Ukiwa mjinga ndio unaitwa “A caring and an understanding boyfriend”

Siyo mjinga tu, ukubali kupigwa masingi, kunyanyaswa, maneno ya kiburi na kejeli, dharau na ujinga gani sijuwi!
Yaani uwe fala kweli kweli!
 
nakiomba mkuu
 
HII INAITWA,UNATESEKA UKIWA WAPI🚴


Uwe kauzu Kwa mwenza wako,kwani mpo vitani😏.
We kama umeowa "MARIA KIMBUNGA' imekula kwako.

Mapenzi ni ushikaji,nidhamu,kuheshimiana n.k.

Hivyo,mwanamke uliyenaye we ndo unajua umpe asilimia ngapi sio Kwa Kila mtu.

Mapenzi hayana mwenyewe,ni kama KUBETI
 
Mkuu naomba unitumie PM
 
I encourage Vijana someni hiki. Kipo kingine pia, Ukimaliza nijuze
 

Attachments

Nice guy = a guy with no msimamo, too much caring, stepover, doormat

This is how woman mind ina mtafsiri nice guy
 
Link ya download kitabu hii hapa ashindwe sasa
👇👇👇
David Deida - The Way of the Superior Man.pdf
 
Soon baada ya kuoa,

Nliamua nisitishe uefa za usiku sn nisimkwaze wife, alkua hapendi.

Kichotokea sasa,
1. Siku nmechelewa kurud kwny uefa coz mvua alikua inanyesha, mvua ziliblock njia, akagoma fungua mlango akinambia nkalale uko uko. AISEE USIKU ULE NILILALA KWENYE GARI, akaja nifungulia saa 10 kasoro usiku et Niingie kulala.

2. Siku Tena baada ya dinner nikaaga naenda Uefa, akanijibu " wee na Ayo mamipira yako uchokagi TU?" Nikamjibu. "Huwez niteganisha na uefa, Ni kitu napenda toka mdg"

Akasema "Mie ukienda Tena, usiniguse Tena wee uendelee kupendana mipira yako iyo, ikupe raha na ikuridhishe KILA kitu, sie ambao hatuna maana tuache". Sikumjibu kitu nikaondoka zangu.
Baada ya kurud seriously nilinyimwa penzi, hata kesho yake pia mada ilkua Ni ile ile "wee mipira yako iyo ikakupe penzi" nkaamua kupotezea.

3. Siku nyingine nkamuaga naenda check uefa Nusu fainali 1st leg, akanambia nshakwambia sitaki uende na ukienda usinisumbue kuniamsha nkufungulie ukirudi, eti "mie sipendi Ayo ma mipira. Yako". Nikampuuza nkaondoka zangu.

Kweli nliporud, wife aligoma kbs kunifungulia. Nikaona uyu hanijui.

Niliondoka Nikaenda lodge, sikurud home Zaid ya siku 3, wife akawapigia wazeee eti nimepotea, sipo home Zaid ya siku 3.

Wazee nikawambia
"sijapotea ila nmehama tu nyumbani, Hii ndoa imekua Kama gereza kwangu, ntarud home wiki 3 zijazo baada ya mechi zote za uefa kuisha"

wazee wakanisihi nirud home,
nikawaambia mbona hzi sarakasi hakuleta kabla sijamuoa, na anajua kbs Mimi Ni mpenz wa mpira tangu uchumba, Au alkua ananivizia Ndoa ndo anionyeshe makucha yake kua hapendi.

Wazee wakamsihi wife ajishushe yaishe, Baadaeife ikabd wife aniombe msamaha ili niweze kurud home, na tangu Apo hapigi Tena kelele khs UEFA na skuhz Sina ratiba maalum ya kurud home na kaacha kbs kunipangia ratiba.
Na nikirud anawajibika kunifungulia, akichelewa kufungua, nikiondoka apo anajua ataniona baada ya wiki.

BASI NIKICHELEWA ANAISHIA KUNUNG'UNIKA MPK BASI.

SIKUHZ TUMEGAWANA FUNGUO, NSHAMWAMBIA NIKICHELEWA NTAFUNGUA MLANGO MWENYEWE. WEE LALA TU.
 
[emoji1635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…