matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ubarikiwe
UbarikiweNoma sana!
UbarikiweAmina mtumishi
Ni yesu au Mungu!?.. maelezo yanajichanganya,au huwa hamjui mnabuadu nani haswa na nani ni nani!?Usipende mambo ya kushindwa.
Biblia inasema
nyingi za kukufanyia mambo makubwa. Hivyo siku zote amini hakuna wa kufunga jambo lako wala wa kulizuia.
Ni hilo tu.
Ubarikiwe zaidi.Amina
Ubarikiwe kwa mchango mzuri.Ni yesu au Mungu!?.. maelezo yanajichanganya,au huwa hamjui mnabuadu nani haswa na nani ni nani!?
Heri Mtu Yule Asiyekwenda - Barabara 13 Ulyankulu - Mdundo https://mdundo.com/song/1525583Usipende mambo ya kushindwa.
Biblia inasema
" Kila alitendalo litafanikiwa. "Zaburi 1:3
" Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu" Wafilipi 4:13
Hivyo kama ni mkristo unayejitambua hupaswi kukubali kushindwa jambo lolote ambalo umeanza na Mungu.
Badala ya kutafsiri chochote kwako kama kushindwa, bora utumie lugha chanya mbadala mfano:
1: Mungu anajambo lingine kubwa anataka nifanye kuliko hilo.
2: Hili Mungu alilitumia kama darasa ili nikifuzu anipe kubwa zaidi ya hili.
Kama ni mkristo amini Mungu ananjia nyingi za kukufanyia mambo makubwa. Hivyo siku zote amini hakuna wa kufunga jambo lako wala wa kulizuia.
Ni hilo tu.
Amina mtumishiHeri Mtu Yule Asiyekwenda - Barabara 13 Ulyankulu - Mdundo https://mdundo.com/song/1525583
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu haji Kwa baba isipo kuwa kwa kupitia kwangu, Mimi ndimi njia ya kweli na uzima. Anza na Mungu maliza na jina lipitalo majina Yate ya binadamu hapa duniani utafanikiwa (YESU).Ni yesu au Mungu!?.. maelezo yanajichanganya,au huwa hamjui mnabuadu nani haswa na nani ni nani!?
Kumbe yesu binadamu!?..kwa nini huwa mnamuomba yesu mambo mbalimbali ikiwemo kuwasamehe dhambi!?..sijawahi wasikia mkimuomba Mungu!!..Kuna sala huwa naisikia 'maria mama wa Mungu utuombee'..wewe huchanganyikiwi kujua kipi ni kipi!?Mtu haji Kwa baba isipo kuwa kwa kupitia kwangu, Mimi ndimi njia ya kweli na uzima. Anza na Mungu maliza na jina lipitalo majina Yate ya binadamu hapa duniani utafanikiwa (YESU).
Amina mtumishi!Usipende mambo ya kushindwa.
Biblia inasema
" Kila alitendalo litafanikiwa. "Zaburi 1:3
" Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu" Wafilipi 4:13
Hivyo kama ni mkristo unayejitambua hupaswi kukubali kushindwa jambo lolote ambalo umeanza na Mungu.
Badala ya kutafsiri chochote kwako kama kushindwa, bora utumie lugha chanya mbadala mfano:
1: Mungu anajambo lingine kubwa anataka nifanye kuliko hilo.
2: Hili Mungu alilitumia kama darasa ili nikifuzu anipe kubwa zaidi ya hili.
Kama ni mkristo amini Mungu ananjia nyingi za kukufanyia mambo makubwa. Hivyo siku zote amini hakuna wa kufunga jambo lako wala wa kulizuia.
Ni hilo tu.
Mwehu!Kumbe yesu binadamu!?..kwa nini huwa mnamuomba yesu mambo mbalimbali ikiwemo kuwasamehe dhambi!?..sijawahi wasikia mkimuomba Mungu!!..Kuna sala huwa naisikia 'maria mama wa Mungu utuombee'..wewe huchanganyikiwi kujua kipi ni kipi!?
Huyo anaeitwa yesu alikuwa ana tundu kubwa za pua na ni mweusi kama wewe..?Usipende mambo ya kushindwa.