matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Nov 1, 2023 Thread starter #21 Teknocrat said: Huyo anaeitwa yesu alikuwa ana tundu kubwa za pua na ni mweusi kama wewe..? Click to expand... Vyovyote vile, Ila ni Mungu pamoja nasi.
Teknocrat said: Huyo anaeitwa yesu alikuwa ana tundu kubwa za pua na ni mweusi kama wewe..? Click to expand... Vyovyote vile, Ila ni Mungu pamoja nasi.
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Nov 1, 2023 Thread starter #22 city bookstore said: Amen 🙏 Click to expand... Ubarikiwe
T The Evil Genius JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 6,017 Reaction score 19,506 Nov 1, 2023 #23 Achana na hizo hadithi zisizo na kichwa wala miguu. Mwambie yesu awaokoe wayahudi wenzie kwanza tuone kama huo uwezo anao
Achana na hizo hadithi zisizo na kichwa wala miguu. Mwambie yesu awaokoe wayahudi wenzie kwanza tuone kama huo uwezo anao
matunduizi JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 7,968 Reaction score 19,368 Nov 1, 2023 Thread starter #24 The Evil Genius said: Achana na hizo hadithi zisizo na kichwa wala miguu. Mwambie yesu awaokoe wayahudi wenzie kwanza tuone kama huo uwezo anao Click to expand... Asante kwa mchango ubarikiwe sana.
The Evil Genius said: Achana na hizo hadithi zisizo na kichwa wala miguu. Mwambie yesu awaokoe wayahudi wenzie kwanza tuone kama huo uwezo anao Click to expand... Asante kwa mchango ubarikiwe sana.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 1, 2023 #25 matunduizi said: Amina mtumishi Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app