BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Hapa mtaani Kuna Jamaa Kwa muonekano ni mtu wa makamo umri umeenda Jinsi Jamii inavyomtreat ni tofauti Sana kulinganisha na umri wake inahudhunisha kuona mtu mzima anadharaulika hii yote ni sababu man Hana chochote. Amenifanya niwaze Kuwa system ya Maisha haiko fair. Tulikuwa wote sawa mpaka pale pesa ilivyotugawanya