Ukiwa mkubwa na ukakosa pesa, maarifa, na msimamo Siku zote utadharaulika no matter what..

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Hapa mtaani Kuna Jamaa Kwa muonekano ni mtu wa makamo umri umeenda Jinsi Jamii inavyomtreat ni tofauti Sana kulinganisha na umri wake inahudhunisha kuona mtu mzima anadharaulika hii yote ni sababu man Hana chochote. Amenifanya niwaze Kuwa system ya Maisha haiko fair. Tulikuwa wote sawa mpaka pale pesa ilivyotugawanya
 
Maisha hayapo fair siku zote cha muhimu ni kumshukuru mungu kwa kile unachopata
 
Tunatakiwa tuwaheshimu binadamu wote sawa mpaka pale wanapoamua kutokuiheshimu heshima unayowapa.

Sidhani kama pesa ni kigezo cha kumheshimu mtu mmoja zaidi ya mwingine.
 
Wewe umefanya nini ili kumsaidia jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…