Ukiwa mtumishi wa NGO huruhusiwi kuwania nafasi za uongozi Serikalini?

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
2,569
Reaction score
500
Kwa wadau na manguli wa sheria za bongo tuu.
Je ni kweli kisheria za tanzania ukiwa ni mtumishi kiongozi wa (ngo) non government organization huruhusiwi kugombea nafasi yeyote ya kisiasa serikalini??? Kam ndi ni kifungu kipi cha sheria kinakataZA??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…