Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu1!!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
jamaa mtu mzima kakaa anawapigiwa stori washkaji zake!
"kuna siku tupo porini niko nakatakata nyama ya swala nipakie garini nikakata mguu na paja nikaweka mabegani"mara ghafla simu ya jamaa ikaita alivyomaliza kuongea akauliza hivi niliishia wapi vile?!
jamaa wakamjibu umebeba miguu na mapaja mabegani*
jamaa enheee basiii nikamgonga yule demu hadi akakoma**
watu walicheka kidogo wafeee

my game,my rules
 
Ni kweli, ukiwa mwongo jifunze kuwa na kumbukumbu vinginevyo iko siku utaumbuka!
 
Story za vijiweni hizo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ni kweli, ukiwa mwongo jifunze kuwa na kumbukumbu vinginevyo iko siku utaumbuka!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
starehe hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

BANNED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…