Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
njo hapa jirani karibu na mti.Husninyo unanshitua hivyo!PM haitangazwi!Nipo kwenu sasa nkutafutie wapi?
Habari Nzuri Dada!Hupatikani siku hizi?Mzima weye?Habari yako!!!!!!!
Nashukuru bebii!poa tupo wawazi usihofu
Pesa kiasi gani?Ukiwa na pesa ntakuPM!
Weye dada huko kwenye miti wapo wenye hizo tabia si mie!njo hapa jirani karibu na mti.