Ukiwa mwaminifu, hauzingatiwi

Ukiwa mwaminifu, hauzingatiwi

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Nimeishi sehemu nyingi na kujifunza vitu vingi pia

Nilikuja kugundua iko hivi ukiwa mwaminifu ukienda kukopa kitu hasa kwa wafanya biashara hautazingatiwa tofauti na mtu msumbufu wa kulipa

Hii inanitokea mimi kila wakati kuwakumbusha wafanya biashara wa madukani madeni wanayonidai

Maana hata kwenye kitabu haniandiki akiamini siwezi mzulumu

Mtu mwaminifu huishi maisha ya furaha wakati wote

Karibuni mchangie
 
Hongera kwa kua muaminifu, usemacho ni sahihi
 
Back
Top Bottom