Ukiwa mweupe uvae nguo rangi zipi na zipi usivae, je ukiwa black?

Mweupe apendelee nguo nyeusinyeusi ndio anapendeza... Mweupe ukivaa nyeupe ni mara chache sana utapendeza sababu unaonekana kama wingu linatembea
Kadhalika mweusi asivae nguo nyeusi sana tusije kutishana njiani
 
🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu mweupe pee, au mpaka weupe uliokolea akivaa rangi yoyote anatokelezea, ishu ni kila mtu ana chaguo kwenye rangi,

Mimi dark blue na nyeusi ndo nguo zangu hasa suruali jeans, nyeusi kama kadeti dark blue ama vitambaa tofaut na hapo sivai
 
Ukiwa white vaa nguo black at least utaonekana na ukiwa mweusi vaa any colour except black
 
Back
Top Bottom