Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
🤣Mweupe apendelee nguo nyeusinyeusi ndio anapendeza... Mweupe ukivaa nyeupe ni mara chache sana utapendeza sababu unaonekana kama wingu linatembea
Kadhalika mweusi asivae nguo nyeusi sana tusije kutishana njiani
[emoji23][emoji23][emoji23]Mweupe apendelee nguo nyeusinyeusi ndio anapendeza... Mweupe ukivaa nyeupe ni mara chache sana utapendeza sababu unaonekana kama wingu linatembea
Kadhalika mweusi asivae nguo nyeusi sana tusije kutishana njiani
🤔imekaaje hii?CCM Colour