Ukiwa Mwivi usihamaki ukiibiwa!!

Ukiwa Mwivi usihamaki ukiibiwa!!

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Posts
2,475
Reaction score
745
Jama kaaga kwa mkewe anaenda Songea kwa wiki nzima,kumbe kahamia kwa mchuchu nyumba ya pili toka kwake,..
siku ya kwanza akalala,asubuhi alipoamka akamua kuchungulia kwake kukoje,si akamuona jamaa yupo nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki bila wasiwasi! akapiga ukelele, "Allo we nani?", Jamaa akajibu, "Ahhh mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu demu kasafiri kaenda Songea huko,mi ndo navinjari hapa".Mume akajibu kwa uchungu, "Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea nikikukuta nakuuwa".:frusty:
 
Ha ha ha,
Cha mwizi huliwa na mwizi!!!
 
teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom