Ukiwa mwizi, ukiibiwa tuliza komwe

Best yangu sio mtu wa uzinzi kusema anazini na X wake, ni maongezi tu yaliyopo kwasasa na kwakua wanawatoto huwezi kwepa maongezi.
Maongezi ya watoto ndiyo yaongelewe usiku, kila la kheri kama watarudiana awe makini
 
Kinachomsumbua shosti ako ni umaskini tu. Mwanaume kinyonga huyo kubadilika rangi sekunde tu. Hakutakiwa kurudisha ukaribu nae mapema hivyo
 
Kinachomsumbua shosti ako ni umaskini tu. Mwanaume kinyonga huyo kubadilika rangi sekunde tu. Hakutakiwa kurudisha ukaribu nae mapema hivyo
Sawa tu muhimu hakuna mengine zaidi ya maongezi , acha bibie nae aendelee kuumia
 
Hapo mjinga ni rafiki yako... Kaachwa na sasa kageuka yeye kuwa mchepuko naye kakubali
 
Hapo mjinga ni rafiki yako... Kaachwa na sasa kageuka yeye kuwa mchepuko naye kakubali
Ujinga wake nini!?. Kwani analala nae!?? Angelala nae hapo sawa lakn maongezi tu acha bibie nae aendelee kuteseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…