Ukiwa na 10,000/= ya Kenya ni sawa Na 227,766/= ya Tanzania

Mkenya alichotuzidi ni idadi ya wanaoongea kienglish,maghorofa,ukabila,rushwa,mademu wenye sura mbovu,Mkenya masikini anaisoma namba kuliko Mtanzani masikini.
 
Kenya wana maisha mabovu eeh.
Acha ushaiki wa kindezi wewe.

Kiwango cha chini cha mshahara Kenya ni Kshs 13,572 sawa na Tshs 309,413.68
Kiwango cha chini cha mshahara Tanzania ni Tshs 419,500 sawa na Kshs 18,400.76

Unemployment rate ya Kenya ni 11.50 ( kwa watu millioni 42)
Unemployment rate ya Tanzania ni 10.30 ( kwa watu millioni 53)

Hizo ni data za mwaka jana. hivyo kama alivyosema godimpare watanzania wana maisha mazuri kuliko wakenya.

Kala hamjapost puma muwe mnafanya research kwanza. unless mnatafuta mawana huko KE
 
mkuu kumbe umenitukana tu kidogo
 
Give hakuna wachumi humu? Ninachofahamu uchumi wa nchi hupimwa kwa mambo mengi.Mojawapo ni mlinganisho wa tofauti ya kuuza na kununua bidhaa nje. Kama wewe unauza kidogo unanunua kwa wingi uchumi wako ni dhaifu. Mambo mengine ni viwanda,kama wewe unauza mapera,mapapai,ngozi nje mwenzako anauza juice,viatu,mikanda nk mwenzako atakupita kiuchumi kwani atatengeneza ajira na kupata kodi kutoka viwandani nk. Kenya hapo ndipo walikotushinda. Pia tofauti hii ni ya kihistoria kwani waingereza walitumia Tanganyika na Uganda kazalisha malighafi na kupeleka katika viwanda vya Kenya kudhalisha bidhaa za kati(semi processed goods) Kabla ya kusafirishwa ulaya kulisha viwanda vya Ulaya. Pia siasa za ujamaa ziliturudisha nyuma japo zilikuwa siasa za kizalendo na utu. Wakati Tanzania tunasaidia kukomboa nchi za kusini mwa Africa,wenzetu Kenya walikuwa wakipambana kujenga uchumi wao. Kumbuka kauli ya Mwalimu Nyerere kwamba Tanzania haitakuwa huru hadi nchi zote za Afrika ziwe huru. Mambo mengine ni vita na Uganda,kuvunjika jumuiya ya Africa mashariki,ufisadi,uhujumu uchumi nk. Hasara kubwa tuliyoipata ni kwamba wale tuliowasaidia kupata uhuru wanatufukuza kwao na kizazi kilichopo sasa hakilazimiki kulipa fadhila.
 
Umesema kweli ndg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…