GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wiki tatu zilizopita hapa hapa JamiiForums niliandika na kutahadhirisha kuwa CHADEMA hakuko salama mkadhihaki. Sijui ni kwanini mnashindwa Kukubali kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu hakuwapa Utajiri wa Mali na Pesa bali kawapa ule wa Akili Kubwa, Maono na Maarifa mengi ya Kiuchambuzi.
Asante mno Mwenyezi Mungu kwa Zawadi yako Kwangu. Hakika na ndiyo maana kila Siku huwa Nakutuza sana Baba.
Asante mno Mwenyezi Mungu kwa Zawadi yako Kwangu. Hakika na ndiyo maana kila Siku huwa Nakutuza sana Baba.