Ukiwa na cheti Level 3 unaruhusiwa kujenga nyumba yoyote bila uwepo wa Mhandisi?

Ukiwa na cheti Level 3 unaruhusiwa kujenga nyumba yoyote bila uwepo wa Mhandisi?

fredick

Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
13
Reaction score
17
Naulizia kibali cha kujenga, ukiwa na cheti level 3 unaruhusiwa kujenga nyumba yoyote bila engineer?

Kama ndiyo, nawezaje kupata kibali?

Naomba msaada wakuu
 
Level 3 ni sawa na certificate kwenye vyuo vikuu hivyo ni lazima uwe chini ya engineer.

Hususani kama jengo ni ghorofa.
 
Naulizia kibali cha kujenga, ukiwa na cheti level 3 unaruhusiwa kujenga nyumba yoyote bila engineer?

Kama ndiyo, nawezaje kupata kibali?

Naomba msaada wakuu
Wahandisi wenyewe wengi ni fake
 
Back
Top Bottom