Ukiwa na demu chumbani / geto akikwambia maneno kama haya na usipomuelewa basi ujuwe wewe ni boya.

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
1. Unapokuwa umetembelewa na mwanamke/msichana chumbani kwako kisha anakuambia funga pazia chumba kiwe giza sipendelei mwanga, unafanya hivyo kisha unakuwa kama zimwi ujauelewa ujumbe wake hapo. My broad wewe ni bonafide dumb

2. Pindi akikuambia anajisikia baridi kisha unazima AC unawasha fan. My broad wewe ni bigwa wa kutoelewa ujumbe.

3. Pindi mkiwa mnatazama movie nzuri kisha anakuambia ainjoy then unamuambia muangalie movie nyingine anakuambia HAPANA… kama utakuwa bado ujampata ujumbe wake wewe ni boya katila level ya Master’s

4. Kama atakuambia ataondoka muda siyo mrefu akawa anakukumbusha kila baada ya dakika kadhaa kupita ukawa ujaelewa ujumbe wake. Wewe ni boya katika level ya PHD.
 
Looh asubuhi yote hii[emoji1787] mshaanza mambo yenu ya ajabu ajabu[emoji57]
 
hiyo namba 4 kuna mmoja mkali alikuja mida ya saa 1 hivi jioni akawa anasema ikifika saa moja na nusu naondoka, mara ikifika saa mbili naondoka.nikawa nimejua lengo lake..ila watoto wa kike inabidi uwe unacheza na saikolojia zao alikuja amejiandaa kumbe...ningempotezea nikasema poa twende nikusindikize Angesepa kiukweli.
Nikamwambia mtoto tulia unaharaka ya wapi tulia tupeane kampani...mtoto akalala aseeh..mtoto alikua mtamu yule daah...tangia hapo nikaendelea kujilia tu navotaka..
 
Kitendo cha kutoa promise ya kuja kunitembelea tu, 98% ya mawazo yangu nakuwa nawaza tricks za kugegeda tu.
 
Bonafide dumb 😂😂😂😂😂😂
 
AKIKUPIGIA SIMU AKIKUULIZA BEBY NIKUAMBIE KITU??? BASI UNATAKIWA UIKATE FASTER KABLA YA SIMU HAIJAISHA BATTERY[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…