Ukiwa na hela nchi hii hufungwi.........!!

sinafungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Posts
1,527
Reaction score
865
Wana JF nawauliza HAKI thamani yake ni tsh ngapi.................? hivi ile kesi ya bw Pesambili Mramba / Danieli Yona na Mgoja mbona kimyaaaaaaaa............? miaka inakatika jamaa wako wanakula nchi , sheria ikikamatwa na fedha masikini hawana chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…