ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
1. Una hela huna mpambe ni ajabu. Wewe unajisifu una hela huna mpambe, unapambana mwenyewe, husemwi, hisifiwi. Hizo ni pesa au maagizo ya mganga?
2. Unajisifu una hela, unakamatwa na mambo kesi ya uzurulaji, hata mambo hawakuogopi, unapanda karandinga la mambo. Hizo hela au hujielewi?
3. Una hela haina namba ya OCD, RPC. Hapo unakuwa unakwama pakubwa. Unapata kesi polisi, unahudhuria kama lofa wakati wengine tunapiga simu na kesi tunatoka maelekezo tu.
4. Una pesa unakaa benchi hospitalini. Yaani huna namba ya daktari hata mmoja. Huko ni kutojielewa na labda utajiri wa ndagu. Mwenye pesa akifika hospitali akifika mapokezi anapita moja kwa moja.
5. Una pesa unafungiwa duka au biashara na vijana wa jiji. Yaani umeshindwa kupata connection na watu wa TRA, hizo au ndagu.
6. Una pesa unatembea na leseni ya udereva kwenye mji wako. Yaani hata trafiki hakutambui, anakagua usafiri wako kama learner. Aisee pole.
7. Wewe tajiri unajieleza hutambuliki, upo tu, unakwama ndugu yangu.
8. Una pesa unajieleza sana kwa michepuko, huko ndo kutokuheshimu pesa zako. Ukiwa na hela au utajiri jitahidi utambulike hawa watumishi wadogo wasisumbue mali au biashara zako.