Ukiwa na hizi tabia 9, jiandae kufa masikini

Hivi kweli nitafute pesa au pesa ipo mfukoni alafu nikapige puchu eti niachane na starehe duh hivi viumbe nimeumbiwa napenda wanawake kiK**a
 
Exactly.
 
Daaaa nimejifunza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimeridhika na hili bandiko " na kwakweli nitamke wazi tu " nafsi yangu inasikitika kwa kuchelewa kuliona "

Nakuomba ukiwa unapata mabandiko mengine ambayo yana mtazamo wa aina hii " usisahau kutuletea hapa ... ikibidi uwe unani tag kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante mkuu kwa uzi saf


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizi ni theory tu hazina reality. Utajiri au umasikini ni fursa. Unaweza kukaza kama ushauri wako unavyosema na ukawa masikini tu.
Mfano mimi nina ndoto za kuwa tajiri miaka mingi sana, na nina tabia zote njema hapo juu, lakini siwi tajiri, naishia kuwa mtu wa kawaida tu japo kanyumba na kirikuu. Tatizo fursa baba,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Get rich or die trying maisha ni mapambano magumu sana, kiuhalisia kila mwanadamu ana kalama zake hapa duniani Mwenyezimungu ana akili nyingi sana anajua nani ampe nan amnyime kutokana na matendo yetu wana damu wa dunia hii. Tuna roho mbaya sana "ROHO MBAYA" hutokaa fanikiwa hata mara moja

kuna makundi mawili katika kufanikiwa kuna wale "GOOD LIFE"wamezaliwa wameikuta pesa iko nyumbani na wakapata shule nzuri usije ukajifananisha nao utafail katika maisha yako.

Kuna sisi Maisha yetu lazima ujipange kuwainua wenzako kwanza na familia zetu za kimaskini ni ngumu sana kufikia maisha yale mtu anaitwa ana maisha mazuri yasio na msongo wa mawazo

mwisho "NYUMA YA PESA KUNA UCHAWI"
 
Ujumbe mzuri mkuu,barikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha making and spending hawk matajiri inamaana washa make hapo wanafanya spending, haina maana kwamba umake tu maisha yako yote bila spenda.

Maisha yanayo formular.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiyokeaje mfano nakati ujafa bado una apply izo formular mrejesho na mfano wako not validity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…